MAWAZIRI WA MAZINGIRA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR WAKUTANA NA BAN KI-MOON, RIO BRAZIL

Posted in
No comments
Monday, June 25, 2012 By danielmjema.blogspot.com



Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, akipiga picha ya pamoja ya kumbukumbu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa (kushoto) Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa rais wa Zanzibar, Fatma Fereji (wa pili kushoto) wakati walipkuwana katika hafla ya chakula cha jioni, iliyoandaliwa na Rais wa Brazil,....kwa viongozi waliohudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20) uliomalizika mwishoni mwa wiki Jijini Rio de Jeneiro, nchini Brazil. Picha na- OMR

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .