Monday, December 24, 2012

Vanessa Mdee Kutoa Wimbo Wake

Wengi wetu tunamfahamu kutokana na collabo kadhaa alizofanya hivi karibuni redioni, Money featured by AY, Ommy Dimpoz's Me N You.... Yes!! Vanessa Mdee a.k.a V. Zaidi au naweza kusema mpya kutoka kwa mwanamuziki huyu ambae pia ni mtangazi wa kituo cha redio cha Choice FM cha Dar Es Salaam ni kwamba anapika ngoma yake ambayo inategemea kutoka tarehe 28 mwezi huu... V ali-tweet kwenye ukurasa wake wa twitter kuhusu wimbo huo ambao utaitwa Closer. Well Vanessa is good at singing... i bet we can all agree on that... Tusubirie hii afu tuone... ikitoka tu tutakupa hapa hapa. Stay close.

No comments:

Post a Comment