Showing posts with label International. Show all posts
Showing posts with label International. Show all posts

Mugabe: watu wananiombea nife

Mugabe: watu wananiombea nife

Posted in
No comments
By danielmjema.blogspot.com
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, mwenye umri wa mika 92, anazungumzia kuhusu kustaafu , lakini swali ambalo bado watu wanahoji ni ikiwa kweli anamaanisha hilo.
Mwishoni mwa juma Bwana Mugabe aliuambia mkutano wa watu wapatao 400- walio piagania uhuru kwamba ikiwa atastaafu anapaswa kupewa fursa "inayofaa" kufanya hivyo. Pia aliwakosoa baadhi ya viongozi wa chama chake cha Zanu-PF kwa kumuombea afe na kujaribu kumroga ili wachukue nafasi yake.
Malumbano ya ndani kwa ndani miongoni mwa wafuasi wa chama tawala ya kutaka kumrithi Bwana Mugabe yameongezeka huku kiongozi huyo akionekana kuendelea kudhoofika zaidi. Lakini si mara ya kwanza Kwa Bwana Mugabe kuongelea kuhusu kuachia madaraka. Mwaka 2006 alitangaza kuwa atagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2008.
Licha ya hayo aligombea na kushinda katika uchaguzi uliokuwa na ghasia ambao matokeo yake yalibishaniwa. Kwa hivyo haijawa wazi ni lini , kama kweli Rais Mugabe ataondoka madarakani.
Mnamo mwishoni mwa juma kamati za kikanda za chama tawala cha, Zanu-PF zilimuidhinisha kama mgombea wake katika uchaguzi wa 2018, ambapo atakuwa na umri wa miaka 94. Chama hicho kitaidhinisha uamuzi huo katika mkutano mkuu wa chama utakaofanyika mwezi ujao. Kwa hiyo kwa sasa haionekani kama kweli anaangalia uwezekano wa kustaafu.

Chanzo: BBC

Usishangae Donald Trump Akiuza moja ya Majengo haya kufadhili Kampeni yake

Usishangae Donald Trump Akiuza moja ya Majengo haya kufadhili Kampeni yake

Posted in
No comments
By danielmjema.blogspot.com
.
Mgombea Urais nchini Marekani Donald Trump amesema anaweza ‘kuuza jengo’ ili kusaidia mfuko wa kampeni yake ambayo inaweza kugharimu dola billioni 1. 
Mwanzoni hakuwa na wazo la kufadhili msimu ujao wa kampeni kwa kuuza mjengo au mali isiyoamishika lakini mabadiliko hayo yamekuja baada ya ripoti ya baadhi wafadhili wakubwa GOP huenda wakajitoa kwenye mbio hizo. Trump aliiambia Fox kwamba:
 ‘Ninaweza kufadhili mabilioni ya dola kwa kuuza jengo, nina uchaguzi wa kufanya hivyo’.
.
..
.Hoteli ya Kimataifa ya Trump  Chicago.
.
.

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA TAIFA LA SWEDEN

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA TAIFA LA SWEDEN

No comments
By danielmjema.blogspot.com

Mgeni rasmi kwenye sherehe ya Siku ya Taifa la Sweden, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye makazi ya Balozi wa Sweden hapa nchini. Mhe. Lennarth Hjelmaker (hayupo pichani).
Balozi wa Sweden hapa nchini, Mhe.Balozi Lennarth Hjelmaker akifungua hafla hiyo iliyofanyika usiku wa tarehe 09/06/2015 katika Makazi ya Balozi huyo Masaki Jijini Dar es Salaam.
 Balozi Lennarth akimkaribisha Balozi Mulamula katika hafla hiyo.
 Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini, Mhe. Filberto Cerian Sebregondi akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Liberata Mulamula huku Afisa wa Wizara hiyo Bi.Asha Mkuja (kushoto mwenye kilemba).
 Mkuu wa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini ambaye pia ni Balozi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hapa nchini Mhe.Balozi Juma Halifan Mpango akisalimiana na Balozi Liberata Mulamula.
 Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Balozi Mulamula (hayupo pichani) Afisa wa wizara ya Mambo ya Nje Bi.Asha Hemela akifuatilia hotuba ya mgeni rasmi katika hafla hiyo.

IRAQ YASEMA HAISAIDIWI KUKABILI ISIS

IRAQ YASEMA HAISAIDIWI KUKABILI ISIS

Posted in
No comments
By danielmjema.blogspot.com

Hatusaidiwi vya kutosha ,hayo ni maneno yake waziri mkuu wa Iraq ,Haider al-Abadi. Anasema kuna ushahidi mdogo sana wa kuwepo kwa uungwaji mkono wa kimataifa katika vita vyao dhidi ya wapiganaji wa Islamic State katika nchi yake Iraq.

Bw. Haider al-Abadi, ameonya kuwa kinyume na matarajio wanamgambo hao wa ISIS wanaendelea kuwasajili watu wengi kujiunga nao. Matamshi hayo ya Bwana Abadi yanakuja wakati wa kikao kinachotarajia huko Ufaransa cha mataifa yaliyoungana kuipiga vita Islamic state.

Mawaziri wa maswala ya kigeni kutoka nchi hizo 20 wanakutana kujadili mikakati yao dhidi ya wanamgambo wa Islamic State walioko Iraq na Syria. Mwandishi wa BBC aliyeko mjini Paris anasema kuwa kutekwa kwa Ramadi na wapiganaji wa Islamic State kumeashiria kushindwa kwa mkakati uliopo sasa na kuongezeka kwa utegemezi wa Iraq kwa wanamgambo wa Shia wanaoungwa mkono na Iran .

Waziri mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi, ni mmoja wa washiriki wa mazungumzo hayo. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani , John Kerry, amesitisha wizara yake baada ya kuvunjika mguu wake alipokua akiendesha baiskeli

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA KIUCHUMI NA MAENDELEO WA MISRI (EGYPT THE FUTURE).

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA KIUCHUMI NA MAENDELEO WA MISRI (EGYPT THE FUTURE).

Posted in
No comments
By danielmjema.blogspot.com

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika mkutano wa Kiuchumi na maendeleo wa Misri, uliofunguliwa jana Machi 13, 2015 na Rais wa Misri, Abdel-Fattah El- Sisi, mjini Sharm El-Sheikh, Misri.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Wawekezaji wa Misri wanaotaka kuwekeza katika Sekta ya Viwanja Wilayani Mkuranga, wakati alipokutana nao kwa mazungumzo leo, Machi 14, 2015 mjini Sharm El- Sheikh, Misri,alikohudhuria mkutano wa Kiuchumi na maendeleo wa Misri, uliofunguliwa jana Machi 13, 2015 na Rais wa Misri, Abdel-Fattah El- Sisi, mjini Sharm El-Sheikh, Misri.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais wa Misri, Rais wa Misri, Abdel-Fattah El- Sisi, wakati walipokutana kwa mazungumzo baada ya mkutano huo, uliofanyika jana Machi 13, 2015 mjini Sharm El-Sheikh, Misri.

Nielsen: GDP, Population and Governance Data Alone Are Not Enough to Predict Brand Success in Africa

Nielsen: GDP, Population and Governance Data Alone Are Not Enough to Predict Brand Success in Africa

No comments
By danielmjema.blogspot.com
nielsen.jpg

PRESS RELEASE
  
New report shows hard retail data, consumer needs and behavior, combined with macro-economic datasets, are better indicators of opportunity and success in African markets

NAIROBI, Kenya, February 25, 2015/ -- For brands eager to tap into the growing African markets and the region’s estimated 350 million middle class consumers, relying solely on macro-economic data such as GDP growth, population trends and regulatory governance data to identify opportunities and predict success can lead to costly missteps, according to a new report from Nielsen (NYSE: NLSN).

Capture.PNG
The findings, which are featured in Africa: How to navigate the retail distribution labyrinth – a new report released today – show it is the companies that combine retail data from both modern and traditional trade and consumer shopping behavior with broader macro-environment indicators that are better positioned to identify the right markets, products, marketing and retail execution strategies that lead to sustainable growth and profitability in Africa.

“Conventional knowledge has held that where there is growth in population and GDP, and a stable business environment, a brand can succeed by being launched in the market. Those insights alone don’t provide a complete picture of Africa’s consumer opportunities,” said Allen Burch, Head of Africa for Nielsen. “We found that successful consumer brands in Africa understand three key pieces of retail information: who shops where and for what, which retail outlets are the best for the product to generate sales, and how to build demand amongst retailers and consumers.”


In 2013 Nielsen began conducting a quarterly analysis of consumer, retail and business outlook data, as well as macro-economic data across seven Sub-Saharan countries – Nigeria, Kenya, Ghana, South Africa, Tanzania, Uganda and Zambia – with plans to expand to additional countries over time. 

Historically, one complaint has been the lack of market data within Africa. Without that insight, even companies with the right products for the right market can fail to get them in the right stores, leading to poor sales growth. By bringing together the standard macro-economic indicators with more granular consumer, retail and business data, it is possible to solve the distribution challenges that are so central to success in Africa.

BALOZI DORA MMARI MSECHU AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO DENMARK.

BALOZI DORA MMARI MSECHU AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO DENMARK.

Posted in
No comments
By danielmjema.blogspot.com

Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akiongea na Watanzania waishia Denmark siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 siku alipokutana nao kwenye  Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel. Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen..

Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akisalimiana na  watanzania waishio nchini Denmark siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel. Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen..
Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania waishio Denmark.

100 key decision-makers expected in Kenya from 25-27th March for the Powering East Africa meeting

100 key decision-makers expected in Kenya from 25-27th March for the Powering East Africa meeting

No comments
By danielmjema.blogspot.com


energynet1.png

PRESS RELEASE


NAIROBI, Kenya, February 18, 2015/ -- As we witness utilities across the continent struggling to acquire and evacuate electricity sufficient enough to reach a base-load, transmission is fast-proving the biggest barrier to energy access across Africa.

Capture.PNG

Presently, there are never-before-seen levels of investment into the power sector- no longer is it simply the poor cousin of exploration. Investors today view power as an opportunity quoted by some as so vast it will make the returns of the African telecoms giants insignificant by comparison.

However, despite over US$8bln of project investments in greenfield projects in South Africa alone, transmission continues to collapse, significantly impacting the social and political landscape of the continent. In addition, this threatens the bankability of future generation projects already under development.

After over 20 years in development, the EAPP, SAPP, African Development Bank, China Development Bank and World Bank together with their public sector partners in Ethiopia, Kenya, Zambia, Tanzania, Mozambique, Zimbabwe and South Africa are starting to make headway which could finally see an end to the transmission crisis.

These projects could be the start of incredible opportunities for East and Southern Africa, promoting everything from township electrification to major industrial development. This outcome is only possible if these countries can maximise the capacity of the presently elusive manufacturers and industrialists looking to take advantage of the export zones currently under development.

You only have to see what the UAE has achieved to see how a resource-based economy can transform a country’s riches if the right investments in infrastructure are made. On the flip side, there are examples where these critical investments were not made - resulting in economic and social turmoil.

The question therefore is this – which president will rise to the challenge and build a legacy on the continent that reads, “I truly brought electricity to Africa, I truly made a difference?”


EnergyNet, as it has been doing for the last 17 years, will facilitate this debate by welcoming 100 key decision-makers to Kenya from 25-27th March for the Powering East Africa meeting (http://www.powering-eastafrica.com). 

Major DFIs, power developers and transmission companies will come together to influence the conversation, enabling participants to understand what’s happening to East Africa’s transmission network in the medium to long term. For more information, visit www.powering-eastafrica.com

Je, usambazaji ndio saratani ya soko la umeme barabu Afrika?

Wa Kusambaza Umeme Afrika Mashariki

NAIROBI, Kenya, February 18, 2015/ -- Tunavyoshuhudia viwanda katika bara hili viking'ang'ana kutengeneza na kusambaza umeme unaotosha kufikia kiwango msingi, usambazaji unaonekana kuwa changamoto kubwa zaidi kwa ufikiaji wa umeme barani Afrika.

Kwa sasa, kuna viwango vya uwekezaji ambavyo havijawahi kuonekana katika sekta ya uzalishaji umeme- haikaribii tu utafutaji tena. Wawekezaji leo wanaona uzalishaji umeme kama fursa iliyotajwa na watu wengine kuwa kubwa kiasi kwamba itafanya mapato ya makampuni makubwa ya simu barani Afrika yaonekane kuwa madogo.

Hata hivyo, licha ya zaidi ya dola bilioni 8 za Marekani kuwekezwa katika miradi mipya nchini Afrika Kusini peke yake, usambazaji unaendelea kuporomoka, huku ukiathiri hali ya kijamii na siasa katika bara la Afrika pakubwa. Zaid ya hayo, jambo hili linatishia uthabiti wa miradi ya uzalishaji wa siku zijazo ambayo tayari inaendelea kujengwa.

Baada ya zaidi ya miaka 20 ya ujenzi, EAPP, SAPP, Benki ya Maendeleo ya Afrika, Benki ya Maendeleo ya China na Benki ya Dunia pamoja na wabia wa sekta ya umma nchini Uhabeshi, Kenya, Zambia, Tanzania, Msumbiji, Zimbabwe na Afrika Kusini zinaanza kuonyesha mafanikio ambayo hatimaye yanaweza kuwa mwisho wa matatizo ya usambazaji.

Miradi hii inaweza kuwa mwanzo wa fursa za ajabu kwa Afrika Mashariki na Kusini, ikikuza kila kitu kuanzia usambazaji wa umeme katika miji hadi ukuaji wa viwanda. Matokeo haya yatapatikana tu ikiwa nchi hizi zinaweza kutumia hadi upeo uwezo wa watengenezaji na watasinia wanaoepuka kwa hali wakitafuta kunufaika na kanda za uhamishaji ambazo zinaendelea kukua kwa sasa.

Unafaa kuona tu kile  Umoja wa Falme za Kiarabu zimetimiza ili uone vile uchumi unaotegemea rasilimali unaweza kubadilisha utajiri wa nchi ikiwa uwekezaji unaofaa katika muundo msingi unafanywa. Kwa upande mwingine, kuna mifano ambapo uwekezaji huu muhimu haukufanywa - na basi kusababisha ghasia za kijamii.

Swali basi ni hili - ni rais yupi atakabiliana na changamoto hii na aunde urithi kwenye bara hili unaosoma, "Nilileta umeme barani Afrika, nilileta mabadiliko?"


EnergyNet, kama ilivyokuwa ikifanya kwa miaka 17 iliyopita, itarahisisha majadiliano haya kwa kukaribisha waamuzi 100 muhimu nchini Kenya kuanzia tarehe 25-27 Machi kwa mkutano wa Kusambaza Umeme Afrika Mashariki (http://www.powering-eastafrica.com).  DFI kuu, waendelezaji uzalishaji wa umeme na makampuni ya usambazaji yatakuja pamoja ili kushawishi mazungumzo, wakiwezesha washiriki kuelewa kinachoendelea katika mtandao wa usambazaji wa Afrika Mashariki kati ya muda mfupi na muda mrefu. Kwa maelezo zaidi, tembelea www.powering-eastafrica.com

PR Newswire and Business Wire to lose most of their media reach in Africa

PR Newswire and Business Wire to lose most of their media reach in Africa

Posted in
No comments
By danielmjema.blogspot.com
apo-african-press-organization-small.png

PRESS RELEASE

JOHANNESBURG, South-Africa, February 12, 2015/ -- The South African Press Association (Sapa) (http://www.sapa.co.za), the only strategic partner of PR Newswire and Business Wire for press release distribution in Sub-Saharan Africa, recently announced that it will cease all operations.

Thanks to their partnership with Sapa, PR Newswire and Business Wire were able to redistribute their clients’ press releases to around 70 media houses, mainly based in South Africa.

“We are sad to see one of our peers go. Some Sapa clients have already resorted to APO to ensure the continuous distribution of their press releases in Africa. APO has allocated resources to answer their every need, including panafrican distribution reaching over 150,000 media professionals and 250 million Africa mobile subscribers," said Nicolas Pompigne-Mognard, APO Founder and CEO (http://www.apo-opa.com).

APO is the creator of Africa Wire® (http://www.apo-opa.com/press_release_distribution.php), the newswire service for press release distribution and monitoring in Africa. This reaches over 50,000 media outlets, bloggers and social networks, and redistributes content to more than 50 African websites, as well as to Bloomberg Terminal, Thomson Reuters, LexisNexis, Dow Jones Factiva, 250 million mobile subscribers in 30 countries and more.


APO Africa Wire® has a potential reach of 600 million people and guarantees the most efficient media influence in Africa; in turn, this is how APO's clients can directly target audiences in all corners of the continent and the world.

Theluji (Snow) yanguka katika maeneo ya DMV -Marekani

Theluji (Snow) yanguka katika maeneo ya DMV -Marekani

Posted in
No comments
By danielmjema.blogspot.com
Embedded image permalinkNa Abou Shatry DMV 
Kama vile matangazo ya hali ya hewa yalivyo tolewa mwazoni mwa wiki hii na National Weather Service, katika maeneo mbali mbali ya hapa DMV kwamba  hali ya hewa itazidi kuwa baridi na kutegemea kuanguka  theluji ya inches mbili hadi tatu  katika maeneo mbali mbali hapa DMV
Theluji hiyo iliotarajiwa kuanguka mapema mapema mida asubuhi 6: AM ya leo Jumanne Jan,6 na kutegemea kusimama kuanguka mida ya 11:AM ya Saa tano mchana . 
Aidha maeneo mbali mbali ya barabara kuu yameonekana kufanyiwa usafi mapema  na magari ya usafishaji kumwagiliaji chumvi maalumu ambazo hupunguza mitelezo inayotokea mara kwa mara wakati theluji hizo zinapotokea kila ifikapo msimu wa baridi.
Pia tunapenda kutoa tahadhari kwa  Madereva wa magari kuwa makini na theluji ambayo husababisha ajali za barabarani  na haswa mnapokuwa katika barabara kuu za Highway na njia za ndani, kwa maana hadi sasa mitelezo na mafoleni baadhi ya maneno mbali mbali yameshaanza kujitokeza katika baadhi ya mabarabara Ndani ya DMV kwa hiyo tunawaomba waTanzania wote wanaoishi maeneo yaliokubwa na theluji hiyo kuwa makini wakati unapoendesha gari lako.

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO QATAR

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO QATAR

Posted in
No comments
By danielmjema.blogspot.com







Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda wakizungumza na Mchezaji Mwinyi Kazimoto ambaye ni Mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Al Markhiaya nchini Qatar, katika mkutano kati yake na watanzania waishio nchini humo uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 21, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda (kushoto kwake) wakizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania waishio nchini Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014.

Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania waishio nchini Qatar, Mzee Said akisoma risala katika mkutano kati ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na watanzania waishio Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha Desemba 21, 2014.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio nchini Qatar baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya washiriki wa Mkutano kati ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Watanzania waishio nchini Qatar wakimsiliza Waziri Mkuu wakati alipozungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha Desemba 21,2014.

Wanajeshi wa Nigeria wahukumiwa kifo

Wanajeshi wa Nigeria wahukumiwa kifo

Posted in
No comments
By danielmjema.blogspot.com
Mahakama moja ya kijeshi nchini Nigeria imewahukumu kifo askari 54 kwa kukataa kupigana na kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Boko Haram.
Wanajeshi hao ambao walipatikana na kosa la uasi,walituhumiwa kukataa kuikomboa miji mitatu iliyokuwa imetekwa na Boko Haram mwezi Agosti.
Wakili wa wanajeshi hao 54 alisema kuwa watawauwa kwa kupigwa risasi huku wengine watano wakiachiliwa huru.
Wanajeshi wamelalamika kuwa hawapewi silaha na mabomu ya kutosha kupigana na Boko Harm. Kundi hilo limekuwa likipigana tangu mwaka 2009 na linalenga kujenga nchi inayoongozwa na sheria za Kiislamu kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Zaidi ya watu 2000 wameuwawa katika mashambulizi yaliyolaumiwa kufanywa na kundi hilo kufikia sasa mwaka huu na maelfu zaidi ya watu wamelazimishwa kuhama makwao kutokana na vita vinavyoendelea.
Koti hiyo ya kijeshi ilianza mwezi Oktoba na ilifanywa kwa siri.Viongozi wa kijeshi hawakupatikana kuzungumzia swala hilo.
Wakili anayewawakilisha,Femi Falana,alisema kuwa wanajeshi hao wote walituhumiwa ''kupanga njama ya kuasi dhidi ya mamlaka ya kikosi cha Divisheni ya 7 cha jeshi ya Nigeria.''
Wanajeshi wote walikataa mashtaka na hukumu hiyo inasubiri idhini ya maafisa wa ngazi za juu.
Katika kisa sawia mwezi Septemba,wanajeshi 12 walihukumiwa kifo kwa makosa ya uasi na jaribio la kumuua afisa wa jeshi katika mji wa kaskazini-mashariki wa Maiduguri.

MRATIBU MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA AKUTANA NA RC ARUSHA

MRATIBU MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA AKUTANA NA RC ARUSHA

Posted in
No comments
By danielmjema.blogspot.com
DSC_0175
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha aliyeteuliwa hivi karibuni, Daud Felix Ntibenda alipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia miradi mbalimbali inayofadhiliwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa mkoani humo.

DSC_0170
Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania Hoyce Temu (kushoto) akisaini kitabu cha wageni wakati Mkuu wa Mkoa na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa wkibadilishana mawazo kabla ya kuanza mazungumzo yao.

DSC_0178
Mkuu wa Mkoa wa Arusha aliyeteuliwa hivi karibuni, Daud Felix Ntibenda akizungumza na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) aliyeambatana na Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania Hoyce Temu.
DSC_0185
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo na uongozi wa mkoa wa Arusha ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Daud Felix Ntibenda (kulia) na kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha, Addo Mapunda.
DSC_0189
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez aliyeambatana na Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania Hoyce Temu (kushoto) katika picha ya pamoja na uongozi wa mkoa wa Arusha.
DSC_0198
Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha, Addo Mapunda akifafanua jambo kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Daud Felix Ntibenda.

MIKATABA YA KIMATAIFA YAISAIDIA TANZANIA HIFADHI YA JAMII

MIKATABA YA KIMATAIFA YAISAIDIA TANZANIA HIFADHI YA JAMII

Posted in
No comments
By danielmjema.blogspot.com
DSC_0382
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi Chana (kulia) akizungumza katika mkutano wa siku tatu wa kimataifa unaohusu hifadhi ya jamii unaotarajiwa kumalizika leo jijini Arusha. Katikati ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen Kebwe na kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima.
(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi Wetu, Arusha
UTIAJI saini wa mikataba ya kimataifa, inayohusu hifadhi ya jamii kumeiwezesha Tanzania kuwa katika hatua nzuri ya kutekeleza ajenda yake ya kuhakikisha kwamba wananchi wake wanakuwa na haki sawa katika kujipatia maendeleo na ustawi.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi Chana katika mkutano wa siku tatu wa kimataifa unaohusu hifadhi ya jamii mjini hapa. Alisema mikataba mikubwa ya kimataifa ambayo Bunge la Tanzania limeridhia na iliyoleta mabadiliko makubwa katika sera na sheria nchini ni pamoja na Mkataba wa Kufuta Aina zote za Ubaguzi na Unyanyasaji kwa Wanawake (CEDAW) wa mwaka 1979, Mkataba wa Haki za Watoto (CRC) wa mwaka 1989 na Mkataba wa Afrika wa Haki za Watoto.

DSC_0394
Mkurugenzi mshiriki anayeshughulikia masuala ya program kutoka makao makuu ya UNICEF, Bi. Alexander Yuster, akiibua hoja kwenye mkutano mkubwa wa kimataifa wa hifadhi ya jamii ulioandaliwa na serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na wadau wengine kwa lengo la kubadilishana uzoefu juu ya nini cha kufanya kusaidia makundi maalumu katika jamii unaomalizika leo jijini Arusha. Kushoto ni Naibu Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano na Maendeleo kwenye Ubalozi wa Sweden nchini, Maria Van Berlekom.

Mikataba mingine ni Mpango wa Maendeleo wa Milenia (MDGs), Azimio la Umoja wa Mataifa Namba 1325 la mwaka 2000 na Azimio Namba 1820 la 2006, ambayo inazungumzia ushiriki na uwezeshaji wa wanawake katika kutanzua migogoro na ujenzi wa taifa.

Alisema kitendo cha kuridhia kwa mikataba na maazimio hayo, kinaonesha ni kwa namna gani serikali ina utashi wa utekelezaji wa maazimio hayo kwa lengo la kuhakikisha watoto na wanawake, wanalindwa dhidi ya vurugu za aina zozote na kuwanyima haki zao za msingi.
Dk.Chana alisema kwa kuzingatia ushiriki kuleta katika maendeleo ya nchi, Tanzania imetayarishwa Dira ya Maendeleo ya 2025 ikiwa na vipengele vyote vya haki vyenye lengo la kuongeza wigo wa ushiriki wa wanawake.
Aidha, ili kuhakikisha makundi maalumu yanalindwa, serikali pia imetengeneza Sera ya Maendeleo ya Watoto ya mwaka 2008, ambayo kwa sasa inapitiwa ili kuingiza mambo mengine yanayohusu haki za mtoto.
DSC_0350
Picha juu na chini baadhi ya washiriki wa mkutano mkubwa wa kimataifa wa hifadhi ya jamii wakiwemo watengeneza sera, watafiti na waendeshaji wa mifuko ya hifadhi kutoka mataifa ya Kenya, Uganda, Bangladesh, Mozambique, Lesotho, Malawi, Afrika Kusini, Ghana, Ethiopia, Zambia, Sudan Kusini na wenyeji Tanzania unaoendelea jijini Arusha.

Aidha, ikiwa imejikita kuondoa masuala ya kuondoa udhalilishaji wa kijinsia, serikali imefanya maamuzi mengi yenye manufaa pamoja na kushirikiana na wadau binafsi kuboresha maisha ya watanzania.

Alisema kwamba suala la wanawake na maendeleo, limeingizwa katika mkakati wa taifa wa kupunguza umaskini. Alisema mwaka jana serikali ilitengeneza programu ya taifa inayohusu wadau wengi ya miaka mitatu ya kuondokana na ukatili kwa watoto.

Mkutano huo unaozungumzia hifadhi, ulifunguliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi ambaye alisema misingi imara imeshawekwa kusaidia hifadhi ya jamii kuelekea dira ya taifa ya kuwa na kipato cha kati ifikapo mwaka 2025.

DSC_0349

Powering Africa: Summit set to advance deals and partnerships for Africa’s power industries in Washington D.C. this January

Powering Africa: Summit set to advance deals and partnerships for Africa’s power industries in Washington D.C. this January

Posted in
No comments
By danielmjema.blogspot.com

WASHINGTON, December 9, 2014/ -- Over the last 20 years EnergyNet has co-ordinated investor meetings with some of the most reliable and successful power developers operating on the continent of Africa.  Symbion Power, GE, Siemens, Copperbelt, Goldwind, Azura Power, Aldwych, Karpowership, Globeleq, Schneider Electric, ESBi, Transcorp, Chint, China State Grid, Hanergy and others have all been companies that have made long term commitments to the sector and invested in sustainable solutions. These are powerful companies with strong balance sheets backed by some of the biggest banks.

Capture.PNG
Despite all this interest, knowledge and experience, billions of dollars has been spent on development over the last 20 years and many projects have not reached financial closure.  Therefore, one key question is how sustainable is the current way of doing things?

How can investors take greater responsibility for the success and speed of the development of long standing projects? Ultimately, African governments and the public sector are the ‘power in Africa’ and it is their responsibility to build power stations and distribute power for the people. Electrification could lead to increased wealth for all, but equally importantly it could lead to increased stability in order to promote further private sector investment, creating more jobs and even more wealth.

It all sounds so simple…. Of course it does, but when a potential investor works across the continent with ministries that lack IT infrastructure and any real depth of international experience across all departments, one starts to understand the challenge that governments and developers face when trying to reach agreements.

Over the last year we’ve seen a change in conversation and indeed a change in the right direction focused on capacity building and infrastructure support for public sector entities. 

Symbion Power, Schneider, GE, Aggreko, and Norton Rose Fulbright among others have been investing in long term capacity building including providing grass roots level training.   These companies, along with PwC and Deloitte are working with public sector corporations on additional development projects to support capacity development. One of the game change actions has of course been the launch of President Obama’s “Power Africa” initiative designed to increase access to electricity in all of sub-Saharan Africa.  Power Africa seeks to strengthen the institutional and human capacity needed to attract investment on a long-term, sustainable basis, and to effectively manage a growing power sector.

Since its launch in late June 2013, Power Africa has helped facilitate the financial close of private sector transactions which expect to produce over 3,100 Megawatts (MW) of new generation capacity.  In addition, Power Africa has already mobilized more than $20 billion in commitments from more than 80 private sector partners.  Power Africa has also forged strategic partnerships with the World Bank, the African Development Bank and the Government of Sweden, which together have committed an additional $9 billion.

At the ‘Powering Africa: Summit’ (http://www.poweringafrica-summit.com) in Washington next month many of the challenges and opportunities will be discussed, with many of the investors in the initiative present including those from the AfDB, World Bank, the United States Government and private sector partners.

With such powerful cooperation among international investors in play, we’re sure that it’s not so much an ‘if’ this will create opportunities, as ‘when’ those opportunities will impact the lives of those on the ground.

Having focused solely on Africa’s power sector and frontier market power generation for 20 years, EnergyNet has had the privilege to witness the passion and long term commitment it takes to ‘turn the lights on in Africa.’  Today there is more enthusiasm and more ‘expectation’ about the potential of Africa’s electricity market, and we’re delighted to play [even] such a small role within such an important and exciting sector.

From 28-30th January 2015, EnergyNet will welcome a high powered delegation of Ministers and officials from utilities and regulatory bodies from Africa to meet with US private and public sector stakeholders at the Powering Africa: Summit where they will continue the crucial conversation on how to maintain the momentum behind building up Africa’s power sector.



Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .