MSANII MASANJA MKANDAMIZAJI ATUA IRINGA ,AJIANDAA KUFANYA TAMASHA KUBWA UWANJA WA SAMORA JULY 16

Posted in
No comments
Tuesday, June 26, 2012 By danielmjema.blogspot.com




msanii Emanuel Mgaya a.k.a Masanja mkandamizaji akionyesha ishara ya mshikamano na wakazi wa Manispaa ya Iringa ambao July 16 mwaka huu atawasha moto katika uzinduzi wa Albamu yake ya Injili ya Hakuna Jipya ndani ya uwanja wa Samora

Masanja akiwa na vijana wake wa kazi
Mtangazaji Danis Mlowe akiwa na mtangazaji Denis Nyali pamoja na Masanja katikatiMsanii Masanja akimtania Denis Mlowe kupunguza kitambi

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .