MSTAHIKI MEYA WA ILALA MH. JERRY SILAA AKABIDHI KISIMA CHA MAJI PAMOJA NA VIFAA VYA MICHEZO KWA WAKAZI WA GONGO LA MBOTO
Posted in
No comments
Sunday, September 23, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Diwani wa kata ya Gongo la Mboto Mh.
Silaa akimkabidhi Bi. Hadija ambae ni mkazi wa mtaa wa Kilimo; ndoo ya
maji aliyoyachota kutoka katika kisima alichokikabidhi kwa wakazi wa
mtaa huo
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala
ambaye pia ni diwani wa kata ya Gongo la Mboto akizindua rasmi kisima
cha maji kilichojengwa kwa ushirikiano wake na mwenyekiti wa serikali ya
mtaa wa Kilimo Bw. Moshi Mwaluko
Baadhi ya wakazi wa kata ya Gongo la
Mboto wakimsikiliza kwa makini Diwani wa kata yao Mh. Jerry Silaa
(hayupo pichani), wakati akiwakabidhi vifaa vya michezo pamoja na kisima
cha maji
Mh. Jerry Silaa akichota maji kwenye
kisima alichokikabidhi kwa wakazi wa mtaa wa Kilimo, kata ya Gongo la
Mboto kama ishara ya kufunguliwa kwake rasmi , huku baadhi ya viongozi
na wakazi wa mtaa huo wakishuhudia
Mh. Jerry Silaa akimkabidhi seti ya
vifaa vya michezo, mmoja kati ya manahodha wa timu zilizoshiriki ligi ya
mpira wa miguu katika kata ya Gongo la Mboto ijulikanayo kama Jerry
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :