R.I.P Mwandishi Agness Yamo wa Tanzania Daima
Posted in
No comments
Tuesday, September 25, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Mwandishi wa Habari wa Tanzania Daima Agness Yamo (pichani) amefariki dunia.
Habari
zilizotufikia katika meza yetu ya Kijiwe Blog zinasema Agness
Yamo amefariki leo Sept 25, 2012 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo
alikokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kakayake Buguruni Sokoni katika Magorofa ya Muhimbili. Marehemu alizaliwa 8/8/1978 na katika uhai wake alifanya kazi katika makampuni mbalimbali ya magazeti na hadi mauti yanamfika alikuwa Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima.
Kijiwe Blog, inatoa pole kwa Ndugu, Jamaa na marafiki wote pamoja na Uongozi wa Free Media kwa msiba huo uliowafika.

Mungu aipe pumziko la amani roho ya marehemu Agness Yamo, AMINA.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :