Ripoti Ya Vazi La Taifa Yakabidhiwa Wizara Husika

Posted in
No comments
Monday, September 10, 2012 By danielmjema.blogspot.com

 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akikabidhiwa rasmi Ripoti ya Kamati ya Vazi la Taifa leo Jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo imekabidhi rasmi ripoti yake kwa Mhe. Waziri ambapo pamoja na mambo mengine inaainisha mapendekezo mbalimbali ya vitambaa vinavyopendekezwa kuwa Vazi la Taifa.

 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara  akionyesha Ripoti ya  Kamati ya Vazi la Taifa  kwa Waandishi wa Habari ( hawapo pichani) mara baada ya kukabidhiwa  rasmi Ripoti hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya Wajumbe wa Kamati hiyo.
(Picha na Concilia Niyibitanga –Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo)

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .