HIZI NDIO TAKWIMU YA CHELSEA VS MAN UTD! HAPA LAZIMA UKAE!!
Posted in
No comments
Sunday, October 28, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Maelezo zaidi ya mchezo huu, ikiwa pamoja na nukuu za mameneja zitafuata, unaruhusiwa kuweka maoni yako katika kibox cha maoni chini ya habari hii ili kuwapa nafasi wanakandanda wenzako pia kuongelea mchezo.
Pia tabiri matokeo ya mchezo huu hapo chini.
Fuatilia takwimu za timu hizi kwa kulinganisha vipengele vilivyoainishwa katika jedwali hapo chini.
TEAM STAT COMPARISON | ||
Chelsea | Manchester United | |
8 | Michezo | 8 |
1 | Nafasi | 2 |
22 | Pointi | 18 |
13 | Tofauti ya magoli | 10 |
19 | Magoli ya kufunga | 21 |
6 | Magoli ya kufungwa | 11 |
Takwimu | ||
Chelsea | Manchester United | |
Fernando Torres | Magoal | |
4 | Robin Van Persie | |
Juan Mata | Kusaidia | 6 |
5 | Wayne Rooney | |
Eden Hazard | 4 | |
5 | ||
Ramires | Kadi Za Njano | |
3 | Paul Scholes | |
David Luiz | 4 | |
3 |

Tabiri Matokeo
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :