POLISI BARRACKS YATETEA UBINGWA WA SAFARI DARTS TAIFA CUP 2012
Posted in
No comments
Monday, October 8, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Katibu Tawala Wilaya ya Moshi Mjini , Hashimu Shimbo(kulia)
akiwakabidhi Kikombe wachezaji wa klabu ya Polisi Baalax mara baada ya kuibuka
mabingwa katika fainali za mashindano ya Darts Taifa(TADA) yaliyofanyika katika
Hoteli ya Hugo’s Moshi Mkoani Kilimanjaro mwishoni mwa wiki.
Meneja mauzo wa Wilaya ya Moshi,Mwamba akizungumza na wachezaji hawapo
pichani wakati wa kutoa zawadi kwa washindi wa mashindano ya Darts Taifa
Mwenyekiti wa Chama cha Darts, Gesase Waigama akizungumza na wachezaji hawapo pichani
Mgeni rsmi, Katibu Tawala wa Wilaya ya Moshi Mjini, Hashimu Shimbo akizungumza na wachezaji
Zawadi zikianza kugawiwa kwa washindi
Mabindwa wa mwaka 2012 wa Darts Taifa, Polisi Balax wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa Kombe
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :