Rais Kikwete aweka jiwe la Msingi kuzindua ujenzi wa jengo la ubalozi wa Tanzania nchini Oman

Posted in
No comments
Thursday, October 18, 2012 By danielmjema.blogspot.com


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuashiria kuanza rasmi ujenzi wa jengo la ubalozi wa Tanzania  nchini Oman katika mtaa wa balozi jijini Muscat Oman jana.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe, watatu kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh na kulia ni afisa mwandamizi ubalozi wa Tanzania nchini Oman Bwana Abdallah Kilima.
 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua ujenzi wa jengo la ubalozi wa Tanzania nchini Oman jana.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe,watatu kushoto ni  Balozi wa Tanzania nchini Oman,bwana Ali Ahmed Saleh, wane kulia aliyeshika karai ni ofisa mwandamizi ubalozi wa Tanzania nchini Oman Bwana Abdallah Kilima na kulia anayeshuhudia ni  ofisa katika ubalozi wa Tanzania oman Bwana Saidi Mussa

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .