KINANA AKAGUA MPAKA WA TANZANIA NA MALAWI WILAYANI ILEJE
Posted in
No comments
Thursday, November 28, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
![]() |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro wakitoka katika ofisi ya Uhamiaji, Isongole wilayani Ileje mkoani Mbeya jana. |
![]() |
Eneo la Malawi, linalopakana na Tanzania wilayani Ileje mkoani Mbeya
|
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :