Posted in
By
danielmjema.blogspot.com
 |
Muda
wa kumpokea Mgeni Rasmi, Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mlima Kilimanjaro
kanisa la Anglikana, Stanley Hotay ukawadia, kushoto ni Mkuu wa shule
Prosper Gurtu. |
 |
Muda wa kuasaini kitabu cha Wageni Ofisini kwa Mwalimu Mkuu ukafuata |
 |
Karibu Mgeni Rasmi, Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mlima Kilimanjaro kanisa la Anglikana, Stanley Hotay |
 |
Muda wa Utambulisho kwa Mgeni Rasmi kutoka kwa Mkuu wa shule, Prosper Gurtu ndio huu. |
 |
Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao
|
 |
Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao |
 |
Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao, huku wakionesha nyuso za furaha wakati wakisubiri kupokea zawadi mbalimbali jana. |
 |
Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika
majoho yao, huku wakionesha nyuso za furaha wakati wakisubiri kupokea
zawadi mbalimbali jana. |
 |
Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika
majoho yao, huku wakionesha nyuso za furaha wakati wakisubiri kupokea
zawadi mbalimbali jana. |
 |
Muda wa Yanga kufanya yao uliwadia wakafanya kama walivyoagizwa na kocha wao...chezea Yanga wewe!!!! |
 |
Basi walimu wao walifurahi kweli kweli...raha ufundishe wafundishike |
 |
hawa nao hawakuachwa nyuma hii ndio raha bhanaaaa! |
 |
msemaji wa Hovyo...MC... Akafanye yake basi yakawa ni raha tupu!! |
 |
Fashion Show si ikafuata...masharabaro utawajua tu na mambao hii ndiyo Pasua Sekondari, karibu upate haya na mengine katika maisha ya Skonga! |
 |
Walimbwende "In Making" hapa utawapata akina Miriam Odemba wengi tu.. usipime kabisa |
 |
Kwa mwendo wa Madaha... ado ado mpaka yule na yule chezea wanafunzi wa Pasua Sekondari weye |
 |
Hapa sasa ndipo utamu unaponoga sasa...baada ya ma "cut walking" ya nguvu sasa tunajipanga kama wana wa Pasua Sekondari ni mambo ya Talent na Fashion Show mwendo mdundo |
 |
Walimu wao katika swala zima la Fashion Show na mitindo hawa hapa, cheki bonge la Cut walking tunakanyaga staili ya Nyau chezea! |
 |
Enheee sasa tunapozi kwa ajili ya Mauzo...kitu cha picha ya kumbukumbu kwenye Noticeboard ya Shule |
 |
Hapa Rose Muhando Lazima Akae tu subiri tunamaliza tunakuja huko mitaani mtatukoma tu, |
 |
Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao
|
 |
Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao
|
 |
Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao
|
 |
Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao
|
 |
Mamajusi Kwaya wakafanya yao |
 |
Risala ya Wahitimu kutoka kwa kaka mkuu, Aniseth Munisi ikafuata |
 |
Aaah Babu...hapo ni wanaume kutoka Mamajusi kwaya wakimtukuza Mungu kwa wimbo wa Injili |
 |
Risala ya Shule ilisomwa na Mkuu wa shule, Prosper Gurtu mwenyewe |
 |
Hotuba ya Hekima kutoka kwa Mgeni Rasmi, Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mlima Kilimanjaro kanisa la Anglikana, Stanley Hotay ikaendelea kupamba tukio |
 |
Muda wa kutunuku Vyeti na Zawadi zingine |
 |
Muda wa kutunuku Vyeti na Zawadi zingine |
 |
Sehemu ya Ndugu Jamaa na Marafiki waliofika katika Mahafali ya 14 ya kidato cha 4 shule ya Sekondary Pasua |
0 MAOINI :