NEWHABARI (2006) LTD, YAFANYA PARTY LA NGUVU KUMPONGEZA MHARIRI WAKE MTENDAJI, ABASALOM KIBANDA KWA KUSHINDA KESI.
No comments
Saturday, February 1, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
| Absalom Kibanda kushoto akifurahia jambo kutoka kwa MC, Sidi Mgumia, ambaye ni mwandishi wa Gazeti la The African. Kulia kwa Sidi ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa New Habari, Hussein Bashe. |
| Weee madada wa New Habari hawa, Jenifer Ullembo kushoto na Zaituni Kibwana. Wote walikuwapo na kushuhudia kinachoendelea. |
| Shughuli inaendelea hapa. Kila mmoja macho mbelee. Hongera bwana Abasalom Kibanda.. |
Muda wa burudani ukafika, Kwaito kwa kwenda mbele....NI BALAAAA!!!
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :