PUMZIKA KWA AMANI COMRADE JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
Posted in
Kumbukumbu ya J.K. Nyerere
No comments
Tuesday, October 14, 2014
By
danielmjema.blogspot.com

Hivi vyote vilitokana na Rais
wa jamhuri wa Tanzania kuutangazia ulimwengu kuwa, mwana wa Afrika,
kipenzi cha waafrika, mzalendo na mwana majumui wa Kiafrika hashirikiani
nasi tena kutumia pumzi aliyotupa Mwenyezi Mungu. Hakika vyema havidumu, mwl. Haupo nasi tena duniani kimwili ila jina lako linaendelea kuishi kwa wema na haki duniani.
Taswira mbalimbali za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake
Mwalimu akiwa na mume wa Malkia wa Uingereza, Prince Philip
Mwalimu akimlaki Waziri Mkuu wa wa Kwanza wa China Chou Enlai ambaye mtindo wake wa mashati ilirithiwa na Watanzania na kujulikana kama Chunlai
Mwalimu katika mazungumzo na Rais Iddi Amin Dadah wa Uganda. Kushoto ni Mama Maria Nyerere
Mwalimu Nyerere alkiongoza matembezi ya kuunga mkono Azimio la Arush
Familia ya Mwalimu Nyerere
Picha rasmi ya Mwalimu na Mama Maria Nyerere
Mwalimu na Madiba
Mwalimu akimkumbatia Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kutoa hotuba ya kukubali matokeo ya Urais alipogombea kwa mara ya kwanza mwaka 2005. Mhe Benjamin Mkapa alishinda
Mwalimu na Mama Maria Nyerere
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :