By
danielmjema.blogspot.com
 |
Baadhi ya Maafisa kutoka Mgodi wa Buzwagi wakifatilia mashindano hayo wakati wa ufunguzi, kutoka kushoto ni Bwana, Jamal Rwambol, (Security Operations Section Leader), George Mkanza-(Sustainability Manager), Amos John – (Commercial Manager and Acting Mine General Manager), Bahati Mwambene-Community relations section Leader na Magesa Magesa-(Stakeholder engagement & communications officer) |
 |
Bwana Jamal Rwambol Security Operations Section Leader wa mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo. |
 |
Kaimu Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi Bwana Amos John akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo. |
 |
Mgeni Rasmi Kaimu Meneja wa Mgodi wa Buzwagi akikagua timu ya Star boys wakati wa mechi ya ufunguzi. |
 |
Baadhi ya timu zinazoshiriki katika mashindano hayo zikiwa katika picha ya pamoja wakati wa ufunzi wa ligi hiyo. |
 |
Kikosi cha Timu ya Majimaji kutoka kata ya Mwendakulima. |
 |
Kikosi cha Timu ya Star Boys. |
 |
Baadhi ya timu zinazoshiriki mashindano hayo kwa uoane wampira wa miguu na Soka. |
 |
Bwana Amos John Kaimu meneja mkuu wa Mgodi wa Buzwagi akifunga goli kuashiria kufungua michezo hiyo. |
 |
Moja kati ya hekaheka wakati wa mechi ya ufunguzi ambapo timu ya majimaji yenye jezi ya njano iliibuka kidedea dhidi ya Star boys baada ya kuitandika bila huruma |
0 MAOINI :