VIDEO: CHEKI BAADHI YA MAGOLI MAGUMU KUWAHI KUFUNGWA 'IMPOSSIBLE GOALS'
Kuna magoli mengi ambayo yamefungwa na wanasoka lakini huenda yakawa yamezoeleka kufungwa kutokana na aina ya ufungaji wake, uwanjani kuna aina ya magoli yanafungwa kwa njia au ufundi ambao hujazoeleka wakati mwingine hata mfungaji mwenyewe anaweza kushangazwa. Nimekusogezea list ya magoli 10 ambayo magumu kufungwa.
No comments:
Post a Comment