Prezzo (Kenya) ameingia studio za Fishcrab na Baraka Da Prince (Tanzania)
Posted in
Burudani
No comments
Thursday, May 26, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Ni Usiku wa Mei 25 , 2016 ambapo muunganiko wa ladha mbili tofauti kutoka Tanzania na Kenya unagusa headlines za burudani baada ya wasanii wawili Baraka Da Prince naPrezzo kuingia studio na kuandaa single yao mpya itakayotoka hivi karibuni.
Single hiyo mpya imetayarishwa katika studio za Fishcrab chini ya producer Sappy, hizi ni baadhi ya picha kutoka studioni hapo.


.Msanii kutoka Nairobi Kenya, Prezzo akitayarisha single mpya anayofanya na Baraka De Prince katika studio za Fishcrab




.Pichani:Producer Sappy ndie amehusika kutayarisha single hiyo mpya ya Prezzo naBaraka De Prince


.Kushoto ni msanii kutoka Kenya Prezzo akiwa studio na Baraka De Prince

Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :