Hatua ya Sada Almasi Shomary na mumewe Kazumari Malongo, harusi ilifanyika jijini Mwanza katika Msikiti Sheikh Amin Mtaa wa Rufiji na kufuatiwa na tafrija iliyofanyika katika Hoteli ya Gold Grest jijini Mwanza.
Kazumari Malongo, akimvisha pete Mkewe Sada Almasi Shomary
No comments:
Post a Comment