Tanzania: Mitandao ya kijamii na ujasiriamali
Dar es Salaam, jiji kuu la kiuchumi na kibiashara nchini Tanzania, Mohammed Khelef alikutana na vijana wanaoshajiisha na kujihusisha na ujasiriamali jamii kupitia mitandao ya kijamii inayowakutanisha na mamilioni ya wenzao kote duniani
No comments:
Post a Comment