Wednesday, June 27, 2012

Kamati Ya Bunge Mambo Ya Nje,Chini Ya Mwenyekiti Wake Lowasa Yaanza Ziara Ya Siku 14


Kamati Ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Chini Ya Mwenyekiti Wake Edward Lowassa Yaanza Ziara ya Siku 14 katika Balozi za Tanzania Kwenye nchi za Marekani,Canada,Uingereza na Asia Kukagua Namna Zinavyotekeleza Mambo ya Sera na Uchumi

kujifunza
Baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo

No comments:

Post a Comment