Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu, TAMISEMI, Aggrey Mwanry, akitoa maelekezo ya serikali kwa halmashauri za mikoa
Mheshimiwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Jaffary Michael mipango ya halmashauri ya manispaa ya moshi kwa mwenyekiti wa kamati ya ushauri, mheshimiwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama ( hayupo pichani)
Mwenyekiti wa KCCIA na mmliki wa Boisafi shopping center, Bw. Patrick Boisafi na maelezo ya mchakato wa KCCIA.wanakamati wakifuatilia kwa makini
No comments:
Post a Comment