Pichani
ni gari lenye nambari T 491 ATR lililoharibiwa na madereva wa pikipiki
maarufu kama bodaboda,likiwa limeharibiwa vibaya kwa kuvunjwa vioo vyote
Juni 9 mwaka huu,majira ya saa nne asubuhi baada ya kumgonga dereva
mwenzao Mtaa wa Kabwe,Jijini Mbeya hapa kisha kutokomea.
Lakini
madereva bodaboda hao walimfukuzia mpaka Mtaa wa Mama John,Jijini
humo,ambapo walimpiga baada ya kukataa kutii amri ya kulipeleka gari
polisi.Hata hivyo hivi sasa Jeshi la Polisi wanawatafuta vijana wa
bodaboda wanaotuhumiwa kuharibu gari hilo.
No comments:
Post a Comment