| Katibu
Mkuu wa
Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, akipiga picha ya pamoja ya kumbukumbu na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa
(kushoto) Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa rais wa Zanzibar, Fatma
Fereji (wa pili kushoto) wakati walipkuwana katika hafla ya chakula cha
jioni, iliyoandaliwa na Rais wa Brazil,....kwa viongozi waliohudhuria
Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20)
uliomalizika mwishoni mwa wiki Jijini Rio de Jeneiro, nchini Brazil.
Picha na-
OMR |
No comments:
Post a Comment