MSANII MASANJA MKANDAMIZAJI ATUA IRINGA ,AJIANDAA KUFANYA TAMASHA KUBWA UWANJA WA SAMORA JULY 16
msanii
Emanuel Mgaya a.k.a Masanja mkandamizaji akionyesha ishara ya
mshikamano na wakazi wa Manispaa ya Iringa ambao July 16 mwaka huu
atawasha moto katika uzinduzi wa Albamu yake ya Injili ya Hakuna Jipya
ndani ya uwanja wa Samora
Masanja
akiwa na vijana wake wa kazi
Mtangazaji
Danis Mlowe akiwa na mtangazaji Denis Nyali pamoja na Masanja
katikatiMsanii
Masanja akimtania Denis Mlowe kupunguza kitambi
No comments:
Post a Comment