Wednesday, June 6, 2012

Naibu Waziri Madini Akutana Na Mzee Mark Bomani



Naibu Waziri Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya madini Mhe.Stephen Maselle (kulia) akipokewa na Mhe. Jaji Mark Bomani, alipomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kujadili mapendekezo ya Kamati ya Rais ya Kuishauri Serikali kuhusu usimamizi wa sekta ya madini kwa manufaa ya taifa.

No comments:

Post a Comment