.
.
Rapper 50 CENT amepata ajali
mbaya ya gari juzi usiku, huko Queens New York, baada ya gari lake
kugongwa na lori ambapo yeye na dereva wake walikimbizwa hospitali ya
karibu kutibiwa, hakuna taarifa nyingine za ziada lakini kijiweblog iko karibu na inafatilia kikitokea chochote kipya utakifahamu kupitia
hapa hapa.
kwa msaada wa:millardayo.com
No comments:
Post a Comment