![]() |
| Wakazi wa Iringa na wageni mbalimbali waliohudhuria katika uzinduzi huo |
![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Iringa Dr. Leticia Warioba akimtwisha ndoo ya maji BAgusta Mtemi Diwani wa Viti Maalum Manispaa ya Iringa mara baada ya kuzindua mradi huo. |
![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Iringa Dr. Leticia Warioba akimsikiliza Teddy Mapunda Mkurugenzi wa Mawasiliano Kampuni ya bia ya Serengetiwakati akisoma risala yake |
![]() |
| Wadau kutoka kampuni ya bia ya Sewrengeti kutoka kushoto ni Bw. Philip Ghucha, David Shayo, Imani Lwinga na mdauGerson Malisa wa kampuni ya TKA wakishuhudia tukio hilo. |









No comments:
Post a Comment