Posted in
By
danielmjema.blogspot.com
 |
Rais
Mstaafu wa awamu ya Mzee Ali Hassan Mwinyi akimkabidhi Mchezaji bora wa
mwaka kutoka timu ya Simba na Taifa Stars Shomari Kapombe tuzo yake ya
mwanamichezo bora wa mwaka wa katika tuzo za zinazoandaliwa na chama
cha waandishi wa habari za michezo TASWA na kudhaminiwa na kampuni ya
bia ya Serengeti zilizofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa
Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Shomari
Kapombe pia amezawadiwa kitita cha shilingi milioni 12 kutoka kwa
wadhamini wa tuzo hizo kampuni ya bia ya Serengeti kutokana na ushindi
huo wa tuzo ya mwanamichezo bora wa mwaka
|
 |
| Shomari
Kapombe mchezji bora wa mwaka akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini
wa tuzo hizo pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Simba huku akiwa
ameshikilia tuzo yake na mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi
milioni 12 za kitanzania kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Serengeti
Richard Wells, kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano SBL Teddy Mapunda na
wa pili kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange
Kaburu |
 |
| Mzee
Ali Hassan Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa zamani
wa timu ya taifa iliyofanikiwa kushiriki mashindano ya kombe la mataifa
huru ya Afrika mwaka 1980 mara baada ya kuwakabidhi tuzo ya heshima
usiku wa kuamkia leo |
 |
| Mzee Ali Hassan Mwinyi akizungumza na kutoa nasaha zake katika utozji wa tuzo hizo. |
 |
| Mkurugenzi
wa Mawasiliano Kampuni ya bia ya Serengeti SBL Teddy Mapunda akitoa
shukurani zake mara baada ya kukamilika kwa utoaji wa tuzo hiyo usiku wa
kuamkia leo. |
 |
| Baba
mwenye uzao wa mabondia Mzee Matumla kulia akikabidhi tuzo ya
mwanamchezo bora wa kigeni katika soka Emmanuel Okwi kwa Makamu
Mwenyekiti wa klabu ya Simba Geofrey Nyange aliyepokea tuzo hiyo kwa
niaba ya mchezaji huyo, |
 |
| Mkurugenzi
wa Shirika la Utangazaji la Zanzibar ZBC Omar Said Ameir akikabidhi
tuzo ya mchezaji bora wa Tanzania katika soka Agrey Morris katika hafla
hiyo. |
 |
| Mchezaji wa zamani wa timu ya Coast Union ya Tanga na Timu ya taifa Salim Amir akikabidhi tuzo kwa mchezaji Shomari Kapombe |
 |
| Mpiga
picha wa siku nyingi Athmani Hamisi akikabidhi tuzo kwa mchezaji bora
wa kiume katika mchezo wa VoliboMbwana Ally huku akisaidiwa na msaidizi
wake |
 |
| Mwenyekiti
wa kamati ya Tuzo za TASWA Masoud Saanane akizungumza katika hafla ya
utozi wa tuzo hizo usiku huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee. |
 |
| Mkurugenzi
wa kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Richard Wells akizungumza katika
hafla ya utoaji wa tuzo za mwanamichezo bora wa Tanzania,Habari na kijiweblog,DAR |
0 MAOINI :