| Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya Wadau wa Kufanya Mapitio ya Rasimu ya
Mpangokazi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mazingira Wakimsikiliza Mgeni
Rasmi pichani hayupo Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng Ngosi
Mwihava alipokuwa akifungua warsha kwenye Hotel ya Top Life Mjini
Morogoro[Picha na Ali Meja] |
No comments:
Post a Comment