WAZIRI MATHAYO AMEFUNGA MAADHIMISHO YA MAZIWA MKOANI KILIMANJARO
WAZIRI
wa kilimo na ufugaji Mathayo David Mathayo hivi leo amefunga
maadhimisho ya wiki ya maziwa yaliofanyika kitaifa mkoani kilimanjaro
katika viwanja vya mashujaa vya mjini moshi mkoani kilimanjaro.
No comments:
Post a Comment