Waziri
wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Sued Kagasheki akimkabidhi tuzo
ya kinyago Bi. Jena Fox, mwanahabari kutoka Jarida maarufu la nchini
Marekani la Travel Agent Magazine jijini New York hivi karibuni.
Tuzo hii ilitolewa na Bodi ya Utalii nchini kufuatia uandishi mzuri
wa makala mbalimbali za kutangaza ukanda wa utalii wa kusini katika soko la Marekani
 |
| Waziri
wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki akiwafnya mahojiano
na mwanahabari Jena Fox kutoka jarida la Travel Agent Magazine jijini
New York hivi karibuni.Katika mahojiano hayo Balozi Kagasheki
alipata fursa ya kuelezea furdsa mbalimbali za vivutio vya utalii
nchini kwa soko la Marekani. |
 |
| Mkurugenzi
Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii nchini Dk. Sloyce Nzuki akiwa katika
picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Chama cha Mawakala wa Wageni cha
Marekani (USTOA) Bi. Peggy Murphy mara baada ya kufanya nae
mazungumzo juu ya namna ya kuongeza idadi ya wageni nchini kutoka
Marekani jijini New York hivi karibuni. |
No comments:
Post a Comment