Wednesday, February 13, 2013

mwampamba na shonza wahamia ccm

Cheki Jinsi Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana CHADEMA Bi.Juliana Shonza na Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mbozi Magharibi kwa tiketi ya CHADEMA Bw Mtela Mwampamba Wakiung'uruma Kwenye hafla ya kuwatambulisha wajumbe wapya wa Kamati kuu ya CCM Mjini Dodoma

Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana CHADEMA Juliana Shonza akijitambulisha kwa wana CCM jana tarehe 12/2/2013, katika Makao Makuu ya CCM,mjini Dodoma
Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mbozi Magharibi kwa tiketi ya CHADEMA Mtela Mwampamba akijitambulisha kwa wana CCM,wakati wa sherehe za utambulisho wa wajumbe wa kamati kuu ya CCM.

No comments:

Post a Comment