Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, akipokea kadi ya aliyekuwa
mwanachama wa Chadema, kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi, Juma Kalendo, baada
ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano mkubwa wa hadhara
uliofanyika Aprili 6, 2013, kwenye Viwanja vya Reli, Kata ya Njoro,
Moshi mkoani Kilimanajro. Katika mkutano huo zaidi ya vijana 65
walitangaza kuhamia CCM kutoka Chadema na Nape ametangaza kuwakabidhi
kadi za CCM katika hafla maalum itakayoandaliwa baadaye. Kushoto ni
Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanajro Steven Kazidi. (Picha na Bashir
Nkoromo).
| |
No comments:
Post a Comment