Monday, May 13, 2013

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI WA KILIMANJARO NA WADAU KATIKA KONGAMANO LILILOANDALIWA NA KALBU YA WAANDISHI KILIMANJARO (MECKI)


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akifungua kongamano la tatu la waandishi wa habari na wadau wa habari mkoa wa Kilimanjaro lilifanyika katika ukumbi wa ofisi ya mkoa .

Mkuu wa wilaya ya Moshi Ibrahim Msengi akizungumza na wadau wa habari wakati wa kongamano la wadau na wanahabari lililofanyika katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa kilimanjaro .

Watoa mada katika kongamano la wadau wa habari na wanahabari wa mkoa wa Kilimanjaro linaloendelea katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.kutoka kushoto ni afisa mtendaji utawala wa kiwanda cha sukari TPC,Jafary Ally ,meneja wa kituo cha Radio cha Kibo fm ,Abdalah
Husein na mhadhiri wa chuo kikuu cha mtakatifu Stephano Moshi ,SMMUCO,Gasper Mpehongwa.




BELINDA, MWANDISHI HABARI



 FADHIL ATHUMANI MWANDISHI HABARI

 SAFINA SARAWAT MWANDISHI HABARI


 BAHATI CHUME NA KIPESE WAANDISHI HABARI

 SHABAN PAZI AFISA HABARI WA MKOA KILIMANJARO

 MWENYEKITI WA MECKI RODRICK MAKUNDI AKIZUNGUMZA JAMBO


MKUU WA WILAYA YA MOSHI DK IBRAHIM MSENGI AKIZUNGUMZA JAMBO KABLA YA KUMKARIBISHA MGENI RASMI







BELINDA, MWANDISHI HABARI



 FADHIL ATHUMANI MWANDISHI HABARI

 SAFINA SARAWAT MWANDISHI HABARI


 BAHATI CHUME NA KIPESE WAANDISHI HABARI

 SHABAN PAZI AFISA HABARI WA MKOA KILIMANJARO

 MWENYEKITI WA MECKI RODRICK MAKUNDI AKIZUNGUMZA JAMBO


MKUU WA WILAYA YA MOSHI DK IBRAHIM MSENGI AKIZUNGUMZA JAMBO KABLA YA KUMKARIBISHA MGENI RASMI


No comments:

Post a Comment