| baadhi ya wanafunzi wa chuo cha Ushirika na Biashira Moshi wakimsikiliza Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM, Jerry Slaa. |
| Jerry Slaa akikabidhi kadi ya uanachama kwa mmoja wa wanafunzi hao |
Kujiunga kwa Wanafunzi hao 155, ni pigo kubwa kwa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutokana na ukweli kwamba vijana ndio viongozi wa kesho ikizingatiwa pia kwamba mkoa wa kilimanjaro ni moja ya mikoa inayotegemewa sana na Chama hicho.
No comments:
Post a Comment