| Mwakilishi wa Kampuni ya vinywaji baridi ya cocacola akitoa maelezo kwa washiriki wa Redds Miss Moshi 2013, waliotembelea kiwanda hicho leo |
| pozi ni balaaaa |
| Mwakilishi wa Bonite akitoa maelezo klwa warembo wa Redds Miss Moshi |
| Warembo hao wakipata ladhaa ya kinywaji cha Coca cola leo |
| Coca cola hoyeeeee!! |
| Karibuni Panone |
| Mshiriki Jacky Mushi akiwa katika Supermarket Ya Panone inayodhamini mashindano ya Rdds Miss Moshi 2013 |
No comments:
Post a Comment