Friday, June 21, 2013

MATUKIO KATIKA PICHA SHEREHE YA UZINDUZI WA NYUMBA YA BW. NA BI. PAUL MAILE WA SOWETO MOSHI...

Mchungaji akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Nyumba ya Bwana Paul Maile wa Soweto Moshi

Marafiki na Wafanyakazi Wenzake wakimpongeza bwana Maile

Nyumba ya Paul Maile-karibuni Nyumbani

Bwan Maile  (pili kulia) baada ya uznduzi wa nyumba yao.

Wazazi wa Mke wa Paul Maile wakitoa baraka kwa Bwana na Bibi Maile
 
Karibuni Kwetu
Tunawapenda wote

No comments:

Post a Comment