Friday, June 14, 2013

"USIKU WA TUDD THOMAS" Juni 30, 2013 DAR LIVE!

Kutoka katika uongozi wa TAIFA LETU.com, Mhariri mkuu na mmiliki mkuu wa www.kijiwechetu.blogspot.com, tunapenda kutoa pole zetu kwa familia, ndugu jamaa na marafiki wa Msanii Langa aliyetutoka, kwa wadau wetu wote na wapenda kazi za wasanii Langa na Ngwair tuungane pamoja kusapoti "USIKU WA TUDD THOMAS" Juni 30, 2013 DAR LIVE!

No comments:

Post a Comment