DJOKOVIC KUUMANA NA ANDY MURRAY KATIKA FAINALI NYINGINE YA WIMBLEDON
Leo Jumapili ( 07.07.2013) mashabiki wa mchezo wa tennis watarejea tena
katika viwanja vya Wimbledon kushuhudia fainali ya wanaume, ambapo Novak
Djokovic anapambana na Andy Murray katika fainali.
Kwa mara ya tatu katika Grand slam nne vijana hao wawili waliozaliwa
karibu wakitofautiana kwa wiki moja watatiana kifuani kuwania taji hilo
muhimu katika mchezo wa Tennis.
No comments:
Post a Comment