| Kaimu Mkuu wa Chuo cha uhifadhi na usimamizi wa Wanyama Pori mkoani Kilimanjaro (MWEKA), Dkt. Freddy Manongi alkitoa maelezo katika Kongamano la kujadili changamoto na mbinu za kukabili ujangili duniani, iliyofanyika katika ukumbi wa chuo hicho leo kama ssehemu ya Maadhimisho ya miaka 50 ya chuo cha Mweka. |
No comments:
Post a Comment