| Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza, katika mkutano wake na
wanachama wa CCM kutoka Vyuo vya elimu ya Juu, leo usiku mjini Songea.
Pamoja ana mambo mbalimbali , Kinana amewataka wasomi kuwa chanchu ya
mawazo mapya ya namna nzuri ya kulijenga taifa la Tanzania na Chama cha
Mapinduzi kwa jumla, badala ya kubaki wakisubiri kulalamika. Kinana yupo
yupo Songea akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya
Chama, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao namna ya kupata
ufumbuzi wa kudumu wa kero hizo. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye. |
No comments:
Post a Comment