Sunday, November 17, 2013

MKURUGENZI WA TANAPA AKUTANA NA WAONGOZA WATALII KILIMANJARO

Mkurugenzi mkuuwa shirika la hifadhi za taifa (KINAPA) Allan Kijazi akizungumza katika mkutano mkuu wa chama cha  waongoza watalii uliofanyika katika ukumbi wa YMCA.
Makamu mwenyekiti wa chama cha waongoza watalii,(KGA) Wilfredy Moshi, ambaye ni Mtanzania wa Kwanza kupanda mlima Everest, akizungumza katika mkutano huo.
Mgeni rasmi katika mkutano huo mkurugenzi wa KINAPA Allan Kijazi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa cha ma cha waongoza watalii.KGA.
Washiriki katika mkutano huo ambao ni waongoza watalii katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.
Washiriki katika mkutano huo ambao ni waongoza watalii katika mikoa ya  Arusha na Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment