 |
| Pichani juu ni Petter(wa pili kutoka
kushoto na Paul). Kulia ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania ambao ndio
wadhamini wakuu wa onesho lao ambalo limeratibiwa na East africa Radio
na TV. |
Mahojiano na picha za hapa na pale zikiendelea...
 |
| Hapa wakifanya mahojiano na kituo cha East Africa TV ambao ndio wenyeji wao |
Vijana wakielekea kupumzika tayari kwa kaziWanamuziki wanaotajwa kuwa na mvuto
zaidi barani Afrika, P Square, wamewasili usiku huu katika uwanja wa
ndege wa Mwalimu JK Nyerere kwa ajili ya onesho lao linalotarajiwa
kufanyika Jumamosi hii katika viwanja vya Leaders Club maeneo ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment