WENYEVITI WA CCM KATA ZOTE ZA WILAYA YA KINONDONI WAPIGWA MSASA DODOMA

Posted in
No comments
Tuesday, November 5, 2013 By danielmjema.blogspot.com

Mjumbe wa NEC, Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi, akisisitiza alipozungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kikazi ya siku tatu kwa wenyeviti wa CCM wa kata 31 za wilaya ya Kinondoni, leo, Nov 5, mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Dodoma Albert Mgumba na kulia ni Katibu wa CCM Wilaya ya Dodoma mjini, Saad Kusilawe na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge. (Picha na Bashir Nkoromo).
Mwenyekiti wa CCM, wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge, akimshukuru Dk. Rehema kwa kufungua mafunzo hayo.


Washiriki wakishangilia baada ya mafunzo hayo kufunguliwa rasmi na mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dk. Reheme Nchimbi.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo maalum kwa wenyekiviti wa CCM Kata za Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, baada ya kufungua semina yao leo mjini Dodoma.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi akiagana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge baada ya kufungua semina ya Wenyeviti wa CCM Kata zote za wilaya ya Kinondoni, DSar es Salaam, leo mjini Dodoma.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .