| Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akikagua ujenzi wa
barabara ya lami ya eneo la kilometa 30 kutoka Mbeya hadi Chunya,
wakati msafara wake ulipopita katika barabara hiyo ukienda Chunya, akiwa
katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za
wananchi na kujaduiliana nao njia za kuzitatua mkoani Mbeya, Nov 30,
2013. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na watatu ni
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro na
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro anaofuatana nao kwenye ziara hiyo. |
No comments:
Post a Comment