![]() |
| Vijana kati ya 120, waliojiunga na UVCCM kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu, mkoani Njombe, wakila kiapo baada ya kupewa kadi zao na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, mjini Njombe, Desemba 7, 2013. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua CD za kundi la Vicheko, wakati wa hafl y kukbidhi kadi za UVCCM kwa vijana kutoka vyuo vya elimu ya juu mkoani Njombe. |



No comments:
Post a Comment