![]() |
| Bryson akitangaza jukwaani kutubu dhambi za kudanganya wananchi alipokuwa Chadema |
![]() |
| Bryson akivaa shati la kijani la CCM, huku Kinana (kushoto) akimshuhudia). |
![]() |
| Bryson akizungumza yake ya moyoni baada ya kuhamia CCM. Kulia ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimsikiliza kwa makini. |
![]() |
| Wana-CCM na wananchi wa Lupa wakimbeba Bryson baada ya kushuka jukwaani akiwa tayari amejiunga na CCM. (Picha zote na Bashir Nkoromo) |







No comments:
Post a Comment