| Diwani wa kata ya Weruweru, iliyoko katika wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Diwani Adris Mandrai akikabidhi baiskeli kwa mmoja wa maofisa Ugani wa Kata zote za wilaya ya Hai, leo. |
| Baadhi ya baiskeli zilizokabidhiwa kwa maafisa Ugani wa Kata za wilaya ya Hai leo. |
No comments:
Post a Comment