Sehemu ya magari yakiwa yamekwama katika foleni kubwa katikati mwa Mji
wa Moshi, foleni hii hutokea katika kipindi cha sikukuu za Krismasi na
Mwaka mpya ambapo kama ilivyo desturi, Wachagaa wote walioko kila
pembe, Ndani na Nje ya Tanzania hurejea Nyumbani kwa ajili ya Kufurahika kwa Pamoja na Ndugu, jamaaa na Marafiki.picha na Kija Elias.
No comments:
Post a Comment