RICH MAVOCO/ KHANGA MOKO KUTIKISA MJI WA MOSHI NDANI YA AVENTURE X-MASS
Posted in
No comments
Saturday, December 21, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
Kama wewe ni mkazi wa Moshi au ni mgeni katika mji wa Moshi na ulikuwa unajiuliza mahali pa kwenda kuifurahia sikukuu ya X-MASS
ukiwa na ndugu, jamaa na marafiki jibu ni Aventure Africa iliyopo
majengo karibu na kituo cha hiace (daladala) zinazoelekea kiboriloni,
kwa kiingilio cha elfu kumi tu (10,000/=)
"Mjini Msingi kiuno, Ukishatendwa ndo baibai.." Rich Mavoco.....
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :